CHAI NA VIAZI TAMU Ksh. 6, Ugali Na Matumbo Ksh. 20 CHAPATI NA DENGU Ksh15, Chai na Bandika Ksh.7 MUTURA KIPANDE Ksh. 2 Kichwa Ya Mbuzi Ksh.30, KARANGA NA UGALI Ksh. 15 Githeri Ya Nyama Ksh 20, UGALI NA SUKUMA Ksh. 7, Kienyeji Ksh.20 NGOMBE CHOMA Ksh.30, Maziwa Lala na Nusu Mkate Ksh.10 MAHINDI CHEMSHA Ksh.5 Nduma Chemsha Ksh.5 KUKU NA MATOKE Ksh. 25, Mchele na Wali Ksh.10, UGALI NA UJI Ksh.7 Supu Maliza Ksh. Bure Bei zetu ni Poa Kabisa Karibuni Burger Dome .Ikiwa Uko Nje ya Kenya na Ungetaka Matumbo na Ugali, Basi Tuma Dola Mbili za Kimarekani Nasi Tutatuma Na Ndege Kesho Asubuhi